Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,855
habari za jioni wadau nafatilia kipindi cha chereko na kutokana na experience nimegundua ndoa za siku hizi kama zinafungiwa sehemu za dini au kwa mkuu wa wilaya utakuta watu.ni wachache kuliko wakati wa sherehe... unaeza kuta watu saba hata nane wakati wakati wa sherehe watu wanajaa nisahihisheni kama sitokua sahihi hivi wakati wa kufungusha ndoa si mdo wa muhimu zaidi kuliko sherehe maana ile ndo yahtaj mashuhuda zaidi?