Haja km zipi? Zielezee hizo haja zake maana haja yake kubwa ya mke inafahamika ni kukazwa na kuzalishwa au kuna haja nyingine?Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
Achana na wapumbavu hawa wajinga wajinga. Wametooa honey moon juz bado hawajaanza kuziona rangi rangi toka kwa ma sweetherts waoUnayoyafanya wewe usitujumuishe wanaume wote.
Hakuna mwanaume asiewajibika kwa mkewe labda unazungumzia vijana.
Na kupewa hela umesahau π.Haja km zipi? Zielezee hizo haja zake maana haja yake kubwa ya mke inafahamika ni kukazwa na kuzalishwa au kuna haja nyingine?
Ndoa za AI ( akili mnemba ).. zimekuwa ngumu sanaa..Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..
Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.
Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
Bado ana hisia kali za mapenzi, ngoja ziache muongoza arudi kwenye akili zake.. maana hata post unakuta kaandika mke wake na sie yeyeAchana na wapumbavu hawa wajinga wajinga. Wametooa honey moon juz bado hawajaanza kuziona rangi rangi toka kwa ma sweetherts wao
ACha tukake kimya. Tusije ambiwa yetu yametushinda tuna washawishi vibaya wengine. Acha kila mtu achanganganyikiwe kwa wakat wakeBado ana hisia kali za mapenzi, ngoja ziache muongoza arudi kwenye akili zake.. maana hata post unakuta kaandika mke wake na sie yeye
Na hapo utakuta na yeye anafanya kazi inayomuingizia hela ila bado tu na hela zako anazitaka umpe eti ni haja zakeNa kupewa hela umesahau π.
Yan unatoka jasho kumtomba halaf unamlipaπ kwa raha zake mwenyewe
ππ eeh ndio . Wanasema ni wajibu wetu na any tatizo likitokea wanasema ni mwanaume kafeli, π huyu mjinga mmoja Robert Heriel Mtibeli ndio anasema hivyoNa hapo utakuta na yeye anafanya kazi inayomuingizia hela ila bado tu na hela zako anazitaka umpe eti ni haja zake
KabisaShule zifunguliwe.
Hahaha kufeli kutimiza haja za mwanamke?ππ eeh ndio . Wanasema ni wajibu wetu na any tatizo likitokea wanasema ni mwanaume kafeli, π huyu mjinga mmoja Robert Heriel Mtibeli ndio anasema hivyo
Kuoa ni kutimiza dini shekhe, hata wewe ni team kataa ndoa??Ndoa ni sawa na parasitism relationship
Mi ni team...Kuoa ni kutimiza dini shekhe, hata wewe ni team kataa ndoa??
Umesahau kataa mishangaziMi ni team...
Kataa ndoa
Kataa watoto
Kataa mademu