Ndoa za mkataba tanzania

Ndoa za mkataba tanzania

DRIMAA

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
27
Reaction score
22
wanawake wengi wa saivi pesa kwanza mapenzi baadae....sasa kuna haja gani ya kuwa na mwanamke huyohuyo kila siku wakati unatumia pesa kuwa nae?...y not changing them kama nguo?...me naona kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba hapa Tanzania
 
Kumbe unona, mbona zipo, kwani wew unafkiri ile hati ya ndoa inamaanisha nin?? Si ndio mkataba wenyewe..
 
Mkataba wa muda mfupi. Nadhan mtoa mada alimaanisha hivyo.
Ila me nadhani hata mikataba isiwepo wanaume tugome ukisikia unatafuta goma unachuja unaendeleaje na mishe zako. Siku hizi hakuna mwanamke mwema, wanawake wema wameisha yamebaki makapi yake tu.
 
Natafuta mume wa only one year mkataba jamani
 
Labda angesema mkataba wa muda maalum

Mkataba wa muda mfupi. Nadhan mtoa mada alimaanisha hivyo.
Ila me nadhani hata mikataba isiwepo wanaume tugome ukisikia unatafuta goma unachuja unaendeleaje na mishe zako. Siku hizi hakuna mwanamke mwema, wanawake wema wameisha yamebaki makapi yake tu.

Wake wema ni mama zetu tuu, waliotulea mpaka tumekua big buddies..
 
Haswa mlikua wapi kuliweka kwenye katiba mpya?
 
we wakat unaona wenzio walishaanza ktambo
 
Kumbe unona, mbona zipo, kwani wew unafkiri ile hati ya ndoa inamaanisha nin?? Si ndio mkataba wenyewe..

Hahahaaaaaa! Hajui huyu kuwa ULE NDO MKATABA WA KUGAWANA 50 by 50 ya your hard earned money na GOLKEEPER kwa hiari yako pasi kuja kushurutishwa huko mbeleni!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu?

Yeye anasaini tu bila kuona mbele!
 
Tatizo la moyo ni kutaka kisichopatikana! Mkifunga ya mkataba ile unakaribia kuexpire tu mapenzi yananogaje??????????? Ukirenew hivo hivo! UKIJITIA KUSIGN PERMANENT KWISHA HABARI YAKO!!!!!!!!!!!
 
unashangaa ndoa za mkataba,,,za mashoga je?mbona kibao wameshaoana magomeni!!!!!
 
Wake wema ni mama zetu tuu, waliotulea mpaka tumekua big buddies..

kama ndio hivyo basi hata watoto wanaozaliwa leo mama zao ni wake wema , coz wanalelewa hadi wanakuwa watu wazima.
 
Labda angesema mkataba wa muda maalum

Hahahaaaaaa! Hajui huyu kuwa ULE NDO MKATABA WA KUGAWANA 50 by 50 ya your hard earned money na GOLKEEPER kwa hiari yako pasi kuja kushurutishwa huko mbeleni!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu?

Yeye anasaini tu bila kuona mbele!

Ahahahaha hajui kama ule ndio wenyewe, kila kile ulichovuna peke yako kwenye jua unagawana na mwenzako kwenye kivuli dah! its kind of deal..
 
Labda angesema mkataba wa muda maalum

Tatizo la moyo ni kutaka kisichopatikana! Mkifunga ya mkataba ile unakaribia kuexpire tu mapenzi yananogaje??????????? Ukirenew hivo hivo! UKIJITIA KUSIGN PERMANENT KWISHA HABARI YAKO!!!!!!!!!!!

Hahahaaaaaa! Hajui huyu kuwa ULE NDO MKATABA WA KUGAWANA 50 by 50 ya your hard earned money na GOLKEEPER kwa hiari yako pasi kuja kushurutishwa huko mbeleni!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu?

Yeye anasaini tu bila kuona mbele!

kama ndio hivyo basi hata watoto wanaozaliwa leo mama zao ni wake wema , coz wanalelewa hadi wanakuwa watu wazima.

Basi ngoja niseme hivi mke mwema anatoka Bwana
 
wanawake wengi wa saivi pesa
kwanza mapenzi baadae....sasa kuna haja gani ya kuwa na mwanamke
huyohuyo kila siku wakati unatumia pesa kuwa nae?...y not changing them
kama nguo?...me naona kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba hapa
Tanzania

sounds fun!i like the idea...ata sisi wanawake tunataka ivo
 
Tatizo la moyo ni kutaka kisichopatikana! Mkifunga ya mkataba ile unakaribia kuexpire tu mapenzi yananogaje??????????? Ukirenew hivo hivo! UKIJITIA KUSIGN PERMANENT KWISHA HABARI YAKO!!!!!!!!!!!
Lara 1 hapo kwenye bold kumenifanya niamini hi kitu tayari ipo na i'm sure tayari we unaiishi cause umeongea kama mtu mwenye experience already! Hebu tiririka, mlifanyaje hadi mka saini hiyo kitu?
 
kwa sababu wanawake wa kibongo wanataka kuiga na tuishi kama ndoa za majuu basi pia wakubaliane na reality ya western marriage kua itaishia na divorce na mda ukifika wa divorce achukulie poa tu kama wenzao wa ulaya hakuna kuitiana ndugu ni kwenda kwa lawyer na kusign paper basi kila mtu kivyake!!!! nadhan pia kuna haja ya kuandikishana per-narpture agreement!!!
 
Back
Top Bottom