J JAY BLACK Member Joined Jun 15, 2016 Posts 12 Reaction score 12 Aug 17, 2016 #1 Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Aug 17, 2016 #2 JAY BLACK said: Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba...... Click to expand... maana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujinga
JAY BLACK said: Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba...... Click to expand... maana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujinga
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Aug 17, 2016 #3 mkataba ni maelewano na kulipana let say kwamba tunakubariana mie nawewe unizalie mtoto 1 then tunaachana na mtoto hawi wako tena
mkataba ni maelewano na kulipana let say kwamba tunakubariana mie nawewe unizalie mtoto 1 then tunaachana na mtoto hawi wako tena
Kule Kwetu JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 3,157 Reaction score 1,907 Aug 18, 2016 #4 JAY BLACK said: Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba...... Click to expand... Siku hizi umesikia kuna ndoa za mkataba wapi?
JAY BLACK said: Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba...... Click to expand... Siku hizi umesikia kuna ndoa za mkataba wapi?
Tamama JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 887 Reaction score 1,107 Aug 18, 2016 #5 LUBEDE said: maana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujinga Click to expand... Hahahahaha
LUBEDE said: maana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujinga Click to expand... Hahahahaha
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,115 Aug 18, 2016 #6 Nzuri hizi ukimpata mwenye skili zake