Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

King khan D

Member
Jun 1, 2019
18
6
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
 
Ndoa za Sasa hivi nyingi hazidumu sababu ya wrong choice .Watu wanakutana fast food,watsap,Facebook,kwenye Pombe nk hawajuani vizuri wanaamua kuoana .Garbage in garbage out lazima mbwagane.Mengine unakuta mumekutana kwenye disco au Pombe ukioa unataka mkeo asiende disco na kwenye Pombe wakati wewe unaenda lazima Moto uwake
 
Inawezekana wewe ndiyo shida pia, miezi 9 ni michache sana kuchoka, badilika wewe! Yani wewe ndo waona tu makosa yake? Wewe ndo Mungu? Ukishakuwa mme, huwezi sema unarekebisha mke, mnajadiliana, mi sina cha kukushauri mpaka nisikie upande wale wa Hadithi

Nachokushauri tulia mwache Mtoto wa watu ajifungue, mpe full support, mpende, mwelewe! Otherwise utajitesa bila sababu!
 
Ndoa za Sasa hivi nyingi hazidumu sababu ya wrong choice .Watu wanakutana fast food,watsap,Facebook,kwenye Pombe nk hawajuani vizuri wanaamua kuoana .Garbage in garbage out lazima mbwagane.Mengine unakuta mumekutana kwenye disco au Pombe ukioa unataka mkeo asiende disco na kwenye Pombe wakati wewe unaenda lazima Moto uwake

Wrong judgement and bad advice
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Hongera kwanza kwa kumpatia kijacho mkamwana, sikiliza hivi
1. Usimbugudhi mkeo kwa sasa, elewa kuwa ni mjamnene, stop stressing her.
2. Itafute akili ya kuishi nae, usitafute kumwelekeza, shauriana naye tena kwa upendo, usikakamae unapozungumza nae
3. Usidhan tu yeye ndie mkosaji, jiwazie kwanza wewe ndipo uwe na moral authority ya kumshauri
4. Usiwe mwongeaji kwa kila jambo, mengine yaache yapite bila kuyaongea, kwa kuwa ni madogo madogo sana. mhimu kama ameyafanya na umeyaona basi inatosha kwake yeye kutarajia utazungumza na asuone unafanya hivo, ataanza kujiogopa mwenyewe
5. Nahisi mambo yako ya kutoelewana yanasababishwa na wivu, maana ndoa yako ni changa mno na kinachosumbua ndoa kwa age hiyo ni wivu. Kama ndio hivo, shuka chini na umjengee imani mwenzio, usiwe mkali, yamkini kweli huwa unachepuka, kama ni kweli, je unataka akusifie?
6. Onyesha kumpenda tu, achana na mengine, mkeo atapona haraka tu na wewe ndie daktari wa changamoto zenu hizo
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Kisirani cha mimba hicho itakua ana mtoto wa kiume tumboni
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!
NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA
nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi
USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Mimba ndivyoo zinavyokuwa hivyo. Vumilia tu yatakwisha
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE

Relax mkuu. Wenzetu huwa wanakuwa stressed wakati wa ujauzito. Hiyo hali itaisha
 
Back
Top Bottom