Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
nyumba kubwa lakini mimi sikutaja jinsia, bali nimezungumzia wanandoa kiw aujumla wao, awe ni mwanamke au mwanaume..........................Mtambuzi kwa hili mimi naomba niwatetee wanawake...wengi ni wavumilivu; wengi wanaishi na wanaume wenye visukari na BP ambao perfomance zao ni karibu na zero.
Ila kwa wanaume...mke akiwa mjamzito tu akakosa k miezi miwili ameshatoka nje (most of you)
Ndio maana hapa watu wanashangaa huyu ni mke wa aina gani kwani wake wengi wanakubali kuishi na wagonjwa mpaka kifo kiwatenge.
Last edited by a moderator: