Ndoa yahitaji uvumilivu, utashi na kujitoa

Aisee.....umeongea ukweli mtupu!Vijana wa leo sisi tunaoa eti kisa sura na shepu,bila kujua ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje.
Mungu akubariki sana kwa ujumbe wako mzuri,naamini vijana wenye lengo la kujifunza watajifunza kitu hapa!
 
ujana huu unatudanganya sana! nami nilifichwa haya na shetani nimeamua kuyachunguza katika uhalisia nikaona nakosea sana tena sana NILIACHA! nimewaona wajomba zangu mama yangu&baba mambo yanayotokea wananuniana lakini baadae wako pia nikajifunza kwa nini bado wapo na familia wanazijenga! liko jambo alifanyaga mjomba wangu hakika kwa akili zetu za .com nlijua ule ndo mwisho wa ndoa ile ila cha ajabu kesho yake nakuta anti anapika uji kanuna lakini anamp mumewe! na yeye kwakuwa kafanya makosa kawa mdogooo hafoki haonyeshi kiburi leo hii ndoa yao ina furaha kuahinda wale ambao hawajagombana ! kwakweli vijana tunavunja mahusiano na nsoa zetu kwa ujinga wetu wenyewe nyumba bora hujengwa haiokotwi jamani
 
Wanasema ukitaka kuijua vizuri ngoma, shuruti uingie uicheze kwanza. Mara nyingi ukiwa nje huwezi ukajua yaliyoko ndani katika uhalisia wake.
misemo usiichukulie kama ilivyo 100% mahusiano pia nime experience! sijakurupuka best kuyaandika! kwani sahiv ndo hiyo ngoma imekuwa ngumu kama zamani?
 
Umeandika points za muhimu sana dear. Na kwenye ndoa ukifanikiwa kujitoa bila kutegemea umewin pakubwa sana hasa wanawake sisi. Kwa mda mchache niliopo humu nimegundua pia unaweza kuwa na maisha mepesi ukiacha kuwekeza makosa moyoni, ukiishi kwa ajili ya familia yako yaani mume/mke na watoto kwanza na kuweka akilini kuwa huishi na malaika ila binadamu mwenzako anayeweza kukukosea mda wowote.
 
Aisee.....umeongea ukweli mtupu!Vijana wa leo sisi tunaoa eti kisa sura na shepu ,bila kujua ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje.
Mungu akubariki sana kwa ujumbe wako mzuri,naamini vijana wenye lengo la kujifunza watajifunza kitu hapa!
Wenyewe wanadai tabia watafundishana...
Yakiwashinda wanashindana kuanzisha thread za kuomba ushauri humu...
 
mkuu siri nzito walizibeba mama zetu yaani Uvumilivu uliotukuka kupita viwango
mama anahangaika kuchoma vitumbua chapati au hata shambani nk ili upate kura na kukisomesha
lakini wadada wa siku hizi hawana siri anaona ufahari kumnamga mumewe hana uvumilivu hawawezi kijitoa
nani hatakubari kuuza maandazi sa hivi hawa mAsister du wa insta hao makaka nao hawajambo

zamani kwanza walikuwa wanamaliza ugomvi wenyewe chumbani
ukizidi kabla haujafika kwa wazazi kaka mkubwa au dada mkubwa husuruhisha lkn sasa hivi au madada wakubwa wenyewe wanaitwa masingo mama hawana hata mpango wa kuolewa wanadai wanalea watoto

sasa hivi tuoane tu 7bu ni sheria na ukipata mke au mume akawa anakupa unyumba na kukuridhisha bira masharti ya ajabu basi nawe jitahidi uwe mwaminifu hayo mingne majariwa tunamuachia MUNGU tu anajua

ila sasa hivi WANAUME wa kuoa wapo wengi zaidi kuliko wanawake wa kuoa
wanawake wa sasa hivi HAMNAZO
 
umeegemea upande mmoja hamna wanaume wenye tabia mbaya siku hizi ni wanawake tu? ukitaka kujenga usipendelee my dear watu wote wamebadilika tizama masister duu, makaka duuu hawalei familia n.k
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom