Ndoa ya wake wawili au zaidi hamna wivu?

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Ningependa kujua je wale wanaume wenzetu wanaoishi na wake wawili je wana changamoto kama ya ndoa ya mke mmoja? Je, hao wanawake hawaoneani wivu? Kwa kimila yangu unaweza kuishi nao hata ndani ya nyumba vyumba tofauti (ila zamani mnajua wazee hawana wivu).

Nimeona kuna dini inayoruhusu lakini mwanaume uwe na uwezo, kwahiyo waishi tofauti au hata pamoja? Je mnaweza ku-share kitanda kimoja?

Ndoa ya wake zaidi ya wawili inaonekana haina stress kama hawa wanaoolewa wanajiachia
 
Inahitaji PHD ya kucheza na akili za wanawake fuilure to control utaona mapichapicha kama ya Bwana Nguzu.
Binafsi siwezi
Kwahiyo wenye wake zaidi ya wawili wanachapiwa
 
Mm binafsi kupanga foleni ya kusubiria dudu hata siwezi.
Binafsi huwa mnachoka na kudai mtachakaa na umri unavyoenda uzazi wa mpango plus meno pause mnakuwa na low libido

Sasa nikivuta mke mdogo kana miaka 19 nakupunguzia mzigo we mke wangu ambao wakati huo una miaka 45 na saggy tits zako
 
Sikuhizi wanawake ni wa vifurushi, kuna viwili na vinne, kuwa na mhusiano mazuri na watu, utapewa line
 
Back
Top Bottom