Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Yaani hili lidume kabisa, lakini linaongea ungese mpaka huzuni napata Mimi. Ma mae wanaume tunazidi kupungua

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 

Tatizo ni shoga
 
Nikuulize tuu hivi wazazi wako wanajisikiaje aisee?,wanajua wamezaa dume kumbe unapekechwa
Wazazi wangu mie wala hawana tatizo, wako happy n peace sanaa, na wanajivunia uwepo wangu. Labda kama kwako kuna shida. Poleeeeeeh
 
wallah hapa mbavu sina khaaaaah. Sio kwa comment hii mweeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…