Ndoa ya mkataba

hivi Tz kuna ndoa za mkataba
Ndiyo.
Ndoa ambayo ww mwenyewe unaijua na pia umewahi kuona / kushiriki tyr ni Mkataba.

Kwan nini.
1. Ni makubaliano ya hiari ya pande mbili au zaidi.
2. Ni halali na una nguvu ya kisheria
3. Husajiliwa (kwa kuwa haina "Considerations")
 
hivi Tz kuna ndoa za mkataba
Kwa hapa bongo sidhan maana ndoa ya mkataba Mara nyingi kila pande inanufaika ,yaan mwanamme unahudumiwa mahitaji yako ,,ila mwanamke anapewa kitu km malipo ili hata atakapoondoka awe nakitu chakufanya maisha.

Sasa kwa hali halisi ya bongo ningumu sana ,Unless muwe mmekubaliana tu nyote wawili !!.

Kwan ndo umerudi kutoka ulaya ?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom