Ndoa ya Mkataba!

Ndoa ya Mkataba!

bado natafuta mwenza WA mkataba!
 
Wakati umefika sasa ndoa ya mkataba ujimuishwe katika aina za ndoa zinazotambuliwa kisheria.
 
Mbona hizi ndoa za mkataba zilikuwepo na zipo mpaka sasa kwenye baadhi ya madhehebu.
 
haaaaa mapenzi unaweza sema kwako yameyumba kumbe kuna mwenzio bado kidogo atakuwa chizi
 
Ndoa ya Mkataba haitambuliki katika Sheria za Tanzania....na hakuna sehemu utafungishwa hiyo ndoa...kuanzia leo futa hilo wazo.
 
Back
Top Bottom