Ndoa ya miaka 16 ipo hatarini kuvunjika kisa mtoto wa nje

Sasa huyo rafiki yako si amweleze tu ukweli mkewe na kumuomba amsamehe kwa kumficha jambo hilo??
Mbona anashindwa kujiamini kiasi hiki??
 
Kuficha ndo mwanzo wa matatz
 
Sasa mimi kwangu itakuwaje nina watoto 6 kwa wamama 5 na sijaoa miaka 31 sasa kwanza huo ujasiri wa mwanamke kuwa mkali kwangu itatokea vipi.
Amwache huyo mwanamke akwende zake huko atajipatia mwingine amuoe
 
Acha uhongo mkuu.
Acha uhongo
Acha uhongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…