Ndoa ya kiserikali

Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.

kwahiyo bibi zako na babu zako waliowaana kimila walikuwa wanazini na wewe ni zao la uzinzi huo?
 
kwahiyo bibi zako na babu zako waliowaana kimila walikuwa wanazini na wewe ni zao la uzinzi huo?

msamehe tu! Kosa alilolifanya ni kutoipa akili yake kuwaza mbali zaidi au kupambanua mambo yeye katoa tu bila analysis...... Hao ndio wanaamin kuwa kila aendae kanisan/msikitin basi ni mcha Mungu na kila asieenda kanisan/ msikitin bas anadhambi
 
ok! itabid nifanye haraka........ Kwasababu hiz za kanisani tunamkufuru Mungu bure. Kufumaniwa kumezid sijui umepona mwenzetu

ha ha ha pole yako ila ukichepuka sio dhambi kwa MUNGU tu pia kwa huyo mwenzio...ila pouwa kama unajijua wewe mashine ina spidi za hammer fanya ya serikali mtu wangu aytime utaongeza mwingine
mimi bado bado npo nipo saana
 

Kama hayo ndo mawazo yako basi usifunge ndoa kabisa maana hata mkuu wa wilaya anafunga ndoa kwa niaba ya Mungu maana yeye ni mamlaka iliyowekwa na Mungu. Hata ukifungia kanisani utapewa cheti hicho hicho utakachopewa na mkuu wa wilaya. Kanisa na msikiti ni mawakala wa serikali kwa kufungisha ndoa. Halafu hebu nikumbusheni, Adamu na Hawa walifungishwa ndoa na padre gani tena yule, sijui shehe? Halafu lile kanisa alilofungia ndoa Isaka na Rebeka linaitwaje tena?
 
ha ha ha pole yako ila ukichepuka sio dhambi kwa MUNGU tu pia kwa huyo mwenzio...ila pouwa kama unajijua wewe mashine ina spidi za hammer fanya ya serikali mtu wangu aytime utaongeza mwingine
mimi bado bado npo nipo saana

ewaaa! Kumbe basi ngoja niingie pm ili tuanze mchakato hapa silazi damu lazma nitumie fursa
 

simaanishi kuwa mm ndio nayafanya hayo. Rejea kesi za kufumaniwa na wake/waume za watu
 
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.

Si kweli labda hujui aina za ndoa zinazotambulika,
Kuna ndoa ya kanisani.
Ndoa ya serikalini.
Ndoa ya kimila means ya makubaliano kati ya wazazi wa pande husika,NA zote zinamibaraka.
 
kipara feki ukifanikiwa just inform me nn na nn nifanye maana hata mm na DEMBA tupo njiani kulishana yamini mbele ya Hakimu!

haa haa haa umekosea bana hazibandi Malafyale ndoa yetu haitakuwa ya serikali bali itakuwa ya jf, mahari italipwa humu humu na ndoa itakuwa humuhumu .....
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote mliochangia uzi huu, ushauri wenu nitautendea kazi. Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…