King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,870
- 95,093
Ila nashangaa seamen mabaharia wanakaa miezi sita majini halafu wake zao wamewaacha tu TZ.Ngumu sana mume akiwa nchi ngeni eti yupo kazini na anaweka mwanamke ndani anaishi nae kama mke pia.
Bora amevumilia amepata kwake pa kuishi.
Aende tu ila ukigeugeu wenu wasanii wa bongo.. Kila la kheri kwake
Kama mimi nina wivu, najijua
Kwa nini alikurupuka...mbona jamaa anaonrkana kaka mstàarabu halagu na wewe si unapenda wanaume wastaarabuNilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Huku na nyie mkisaliti kimya kimya na Ku Flirt na watu tofauti tofauti sio.. Busy na simu kumbe mtu ana Flirt na masela😹😹😹
Ningeshangaa sana.!!
Wewe upo km mimi, nikiona kuna usaliti hata km nilipenda vipi aiseee huwa natoka nduki.!!
Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
Ulisoma Azania nini mzee....umepitiaNikwambie tu ndugu yangu, binafsi baada ya wazazi kutengana, dingi aliniondosha kwenye nyumba yake nikiwa 11 yrs old, mama akarudi kwao, mimi nikaenda Dar- nikawa nauza maji yale ya mkokoteni wakati huo miaka ya 1994- ili kulipa school fees na tuition. Chipsi dume na maji ya mkemia pale Azania ndio ilikuwa chakula changu. Nilipitia changamoto ngumu sana, lakini sikukata taama. Nili- Pass vizuri (kwa muujiz wa Mungu) kwenda form five na baada tu ya form 6 nikapata scholarship kuja huku-Europe. Mungu si Athumani- nimetoboa, kazi nzuri, mshara pia, watoto wangu wote kwa sasa pia wametoboa- mmoja yuko Oxford kama scientist na mwingine Cambridge kama Lecturer. Kwa sasa najiona kama ndio na- graduate toka chuo, najiandaa tu nirudi Nyumbani nifie huko. Namshukuru Mungu kwa alivyo nisaidia katika maisha yangu hadi sasa, hakuwahi na hajawahi kuniangusha siku zote ninapo mkimbilia, yeye ndiye amekuwa msaada wangu kwa kila jambo tangu siku ile nilipo timuliwa nyumbani.
Niki-reflect maisha ya kuvunjika kwa ndoa ile huwa nalia sana hadi sasa. Baba alipata mwanamke mwingine na kupata watoto wengine 4 alio wajali sana kuliko sisi wengine, Mungu alivyo wa ajabu, fainali uzeeni, sasa ngoma imebadirika na yeye sasa ndio tegemezi. Ingawaje nilisha msamehe, ila siwezi sahau niliyo yapitia.
Sipendi sana kusikia hizi habari za kuvunjika ndoa na innocent children hawajui pa kukimbilia, Mungu awafanyie wepesi na awapitishe katika njia bora.
Ni hayo tu.
Kipaumbele kikiwa pesa / uchumi matokeo yake ndio kama hayo. Kama Wanaume wenye kujitambua na wenye maisha nafuu wapo wengi lkn huwa hawatakiwi.Hakuna mume pale darling.
Wanawake huwa tunafeli kutofautisha mume na mwanaume!
Umenichekesha sana, umejuaje kama napenda wanaume wastaarabu Mkuu?Kwa nini alikurupuka...mbona jamaa anaonrkana kaka mstàarabu halagu na wewe si unapenda wanaume wastaarabu
halafu wolper kumbe sio mkubwa kihivyo hajafikisha hata 40Umenichekesha sana, umejuaje kama napenda wanaume wastaarabu Mkuu?
Ndoa zina mengi, jamaa anaweza kuonekana mstaarabu lakini ya ndani kwao hatuyajui.
Wewe ni shabiki was wolper?Nimesikitika....
Mke wako ni positive ? Bado upo nae?Wengine tuna experience ya ajabu maana mke +ve na sie mpaka leo -ve! Haya mambo yaone hivi hivi. Cha msingi ni kukubali kuwa Kufunga ndoa ni kujitoa kwa ajili ya watoto mtakaopata si vinginevyo.
Kwa nini?Kwamza rich kavumilia sanaa mpaka wamepata watoto wawili apewe tuzoo[emoji38][emoji38]
Nimpeleke wapi?Mke wako ni positive ? Bado upo nae?
HapanaWewe ni shabiki was wolper?
Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?Umeongea point kubwa....Vipi walikuacha ulelewe na ndugu?
Yes Azania, Tambaza na baadae Songea boys na Galanos ( Kwa Makamba) wakati ule wa fujo za Tambaza na Azania. Tumetoka mbali kwa kweli.Ulisoma Azania nini mzee....umepitia
changamoto ukiwa na umri mdogo...watoto wako sasa wasiishi Kama wewe
Broo.. 😂Ndoa imedumu kama mwenyekiti alivodumu 😹
Kabisa mzeee.... Che guevara ana anafasi gani katika upambanaji wako?? Naona unamkubali sanaYes Azania, Tambaza na baadae Songea boys na Galanos ( Kwa Makamba) wakati ule wa fujo za Tambaza na Azania. Tumetoka mbali kwa kweli.
watoto wangu wako poa sana kwa sasa. Namshukuru Mungu kwa hilo na mengineyo yote niliyo pitia. Asije mtu akakwambia kwamba ametoboa kwa uweza wake.. ni Mungu ndio hupanga mambo hadi utoboe