Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

m happy you made it @geraldhando @geraldhando ..
Congrats..All the best in your marriage life...

Ukistaajabu ya Farao utayaona ya Gerlad Hando..bata la mjini ale na mwingine..ndoa akafunge na mwingine...haya maisha bhana..kitu hubby...dah!..yaan mi naona ukiwa na mwanaume alaf ukaona haelekei elekei hata hazungumzii suala la ndoa na ww plz usi post wala usijinadi nae saana watu wote wakajua jaman..subir kashatangaza nia pale ndo umpost hata ukimuita hubby kweny caption sawa..

Ila mmeokotana tu samak samaki au element leo kesho hubby na mapicha unampost kweny mitandao mwisho wa cku unackia kaoa kimyakimya..sura yko waikweka wap na ile mi caption ya mahabat..mwisho wa cku pale ulipoandika my hubby unaenda kuedit inageuka my hobby.. kitoho safi bibie kamuandikiam happy you made it @geraldhando @geraldhando ..

Congrats..All the best in your marriage life...
image-png.385993
14128845_1751332421798024_1571344990_n-jpg.385890
12976677_195404337518445_1970291436_n-jpg.385891
image-jpeg.384993

Mapenzi yakiisha maisha yanaendelea.
 
Tatizo Gerald hapendi mijanamke minene na mifupi. C unaona size ya body ya kitu alichooa. Mwanamke anatakiwa anenepe akiwa ndani sio halijaolewa limenenepeana na kitambi hicho;nani ataweza.
 
Inabidi mjifunze jinsi ya kutofautisha, kuna mwanamke wa bata na mwanamke wa kuoa

Hapa ndipo akili zetu wanaume zinapofanana! tutakuwa na tabia zooote mbaya mbaya, lakini kwenye kuchagua mke wa kuoa.Tunatulia mmno.
Sasa ivi kuna mwanamke wa kujipiga nae selfie, na kutuma ktk social media.
Kuna mwanamke wa kutoka nae outing
Kuna mwanamke wa msimu, ukimkumbuka unakwenda kuwasha,
KUNA MWANAKE WA KUOA
 
Inabidi mjifunze jinsi ya kutofautisha, kuna mwanamke wa bata na mwanamke wa kuoa.

Hili wanawake huwa hawalifahamu. Akiwa na wewe anajiaminisha kuwa ataolewa wakati wewe ushagundua kuwa siyo wife material. Baadaye ukioa the wife material anaanza kulalamika. Nadhan men pia inabidi kuwa wawazi itasaidia.
 
Back
Top Bottom