Ndoa ya Flora; Nani kuweka pingamizi, Gwajima au Mbasha?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Hawa wote inasadikika kuwa wamewahi kuwa na uhusiano na Frola Siku za nyuma. Mbasha alikuwa mume halali wa Flora kabla ya kuachana na hata baada ya kuachana inasemekana Flora alijiingiza katika uhusiano na Gwajima na kuna habari kuwa amezaa nae mtoto.

Je kuna uwezakano mmoja wao kati ya hawa wawili kuwa kipingamizi cha ndoa ya Flora kufungwa?
 
hakuna haja ya pingamizi. siku hizi ni revenge ya kimya kimya akuanzae mmalize baasi
 
kwani christian kuna kuachana na kufikia hatua ya kuoa au kuolewa kwa mara nyingine...???..kama wa upande wa pili..
 
Talaka inaruhusuwa kwa sababu 1.
Mathayo 19:9 inasema : Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine, ILA kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi.”
 
Talaka inaruhusuwa kwa sababu 1.
Mathayo 19:9 inasema : Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine, ILA kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi.”SO MWENZI WAKO AKIKUSALITI AKAZINI UNA RUHUSA KUMTALIKI NA KUOA/KUOLEWA
 
Talaka inaruhusuwa kwa sababu 1.
Mathayo 19:9 inasema : Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine, ILA kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi.”
Sasa mnajuaje km hapakuwa uzinifu,
 
sasa huyo flora anafanya kitu gani..??..hali kadharika huyo bwana nae...??..maelekezo ya kiimani mbona yanapuuzwa kirahisi rahisi kama hivyo...???
ndio tulipofika mkuu

kwanza walokole wa aina ya flora, gwajima, mwingira wamekuwa a laughing stock....

kesho wataanza kufungisha ndoa za jinsia moja, yanaanza hivi hivi
 
Mashine Imeshachongwa sleeve tapert unapima na filler gauge size ya mwisho.
 
ndio tulipofika mkuu

kwanza walokole wa aina ya flora, gwajima, mwingira wamekuwa a laughing stock....

kesho wataanza kufungisha ndoa za jinsia moja, yanaanza hivi hivi
poleni sana mkuu...maombi yanahitajika...
 
Back
Top Bottom