Ndoa ya bomani

Ndoa ya bomani

sleemaida

New Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Hivi hii ndoa ya bomani nataka kuifaham vizuri kuhusu sheria zake zikoje?
 
Ni ndoa ambayo ni halali kisheria na inatambulika kisheria.Cheti chake kinafanana vyeti vinavyotolewa Makanisani isipo kuwa no tofauti na waislam
 
Ni ndoa kama ndoa nyingine na inatambulika kisheria ....mapungufu yake ni rahisi kuvunjika yani kama mmoja wenu anataka kung'atuka basi ni rahisi kuivunja kisheria na mkagawana mali pasu pasu.... tofauti na hizi za dini eg Roman Catholic
 
Back
Top Bottom