Umefuta comment halafu unajiona mjaaanja...niko mbele ya muda,nilijua utaibuka na utetezi wa kiboya tu nika-screenshot.si mtu una copy paste.
au umetengeneza wewe na ku edit(hili nijibu unafikiri mie sina akili...pole)
maana sioni hiyo comment ya poker
Hapana , nalala mwenyewe.Usitudanganye na hapo hulali peke yako
🤣Umefuta comment halafu unajiona mjaaanja...niko mbele ya muda,nilijua utaibuka na utetezi wa kiboya tu nika-screenshot.
View attachment 3473547
Same comment,same time!! How?
Umefuta comment halafu unajiona mjaaanja...niko mbele ya muda,nilijua utaibuka na utetezi wa kiboya tu nika-screenshot.
View attachment 3473547
Same comment,same time!! How?
Kama list hii ikifuatwa hautakuja kuwa na mwanamke au kuoaDemu akiamua kukusaliti atakusaliti tu hata ujifanye fundi vipi
Kama Hawa alisaliti makubaliano na ADAMU ya kutokula tunda wewe ni nani
Chukua tahadhari unapoishi na mwanamke ukiona hata dalili za kuelekea kusalitiwa chukua hatua ya kusepa kabla ya utekelezaji wa mipango yake
1. Ukiona demu anakuzuia kushika simu yake ingia mitini
2. Ukisikia demu anakupa masharti eti ukitaka kushika simu yake na wewe ashike yako ingia mitini
3. Ukiona demu ana wanaume anaowaita marafiki ingia mitini
4. Ukiona demu anakuwa bize usiku na baadae anapokea anakuambia alikuwa anaongea na ndugu yake au mzazi wake au rafiki yake ingia mitini
5. Ukiona demu yupo kwenye mitandao mingi ya kijamii ingia mitini
6. Ukiona demu ana kampani za micharuko, anaimba nyimbo za wasanii kama alishiriki kutunga ingia mitini
7. Ukiona demu anakupangia muda na siku za kuonana nae bila maelezo ya kueleweka ujue upo foleni ingia mitini
8. Ukiona demu anajifanya kulia unapotaka kujua jambo unalotilia shaka ingia mitini
9. Ukiona demu ukimpa hela anakuita jina la kimahaba ingia mitini
10. Ukiona demu anaanza kukupa majukumu ya wazazi wake ingia mitini
11. Ukiona demu anakuomba umtumie picha yako ili aamue kukutana na wewe au la ingia mitini
12. Ukiona demu ukimwambia unaumwa hataki mawasiliano hadi upone ingia mitini
13. Ukiona demu anaweka picha yake status ujue bado yupo sokoni
14. Ukiona demu ana namba nyingi za simu na nyingine za lipa namba ingia mitini
Ukiona dalili hizo usijiachie ongeza ufuatiliaji
Wanaume ni wengi na kuwa na mtu kwa afya yako ya akili na mwili wewe kijana wangu wa kiume
Umefuta comment halafu unajiona mjaaanja...niko mbele ya muda,nilijua utaibuka na utetezi wa kiboya tu nika-screenshot.
View attachment 3473547
Same comment,same time!! How?
Umefuta comment halafu unajiona mjaaanja...niko mbele ya muda,nilijua utaibuka na utetezi wa kiboya tu nika-screenshot.
Same comment,same time!! How?
Punctuality is relative,You're not LATE;others are too EARLY!
Wenye akili timamu tunajua kilichotokea wala hakuna haja ya kujibaraguza sana!yes wewe haunazo kabisaaaa bcoz
unalazimisha kitu mtu kamanya mwingine, na sioni tabu kama alifanya lolote as long as acc yangu ya coco ni yangu na hamna liye ingilia,
kwa akili yako ni kwamba niliandika then nikaposti, halafu nika copy
halafu nina hiyo account ya 😂 poker, so nikaingia nika paste na kuposti.. ili iweje haswaaaa!!!
ndio maana nasema u GT mtu kama wewe achia wengine...
halafu ujicheke kwa kutokuwa smati na pia hujui yanayowezekana humu... eti nashinda makapuku unajua hata huo uzi ulianzishwa kwa ajili ya akina nani eeeh na sababu ikawa hivyo
fekelo langu humu hata uroge hautalijua lipo vizuri miaka karibu na hii account. na sio korofi... ngoja niifufue kuandika humu tena...