Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Teh teh teh. Mdogo wangu. Hivyo bibi hakuwa na bahati ama?Mmh miaka 60
Kweli ringia bahati usiringie uzuri
hahahahahahahahahahaaaa...wahenga wako vzr jamani
Kweli kabisa naamini hata bi Wema Sepenga nae atakuja pata wake tu siku moja, kwamaana ngombe hazeeki maini.Huyo bibiharusi si ndio yule Muhenga aliyesema ''Ng'ombe hazeeki maini''
Anayo bahati ndo maana kastirika hali ya kuwa umri umeendaTeh teh teh. Mdogo wangu. Hivyo bibi hakuwa na bahati ama?