Sidhani kama sex ni ishu sana. Sex ni matokeo baada ya matukio. Asilimia kubwa watu wanaoana baada ya uzinzi hivyo wengi huwa wanafahamiana kwenye ishu ya sex wakiingia ndani wanakutana na mengine mapya.
Ndoa nyingi zinazingua sababu ya fedha, majukumu na mazoea yaliyopitiliza kiasi cha kuhisi humuhitaji mwenzio mpaka mkiachana ndo unashtuka kumbe ulikatika.