mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Nilichoandika kina ukweli fulan mkuu!Mkuu....
Ndoa sio jambo la kujiandikia tu thread eti kwakuwa umejifikiria tu kuandika kile unacho kiwaza
Je umeoa/olewa?Nilichoandika kina ukweli fulan mkuu!
kutokuwa umeonja asali ndio nguzo kuu ya ndoa... Sasa hiyo nguzo wengi wetu tulishaichakachua hamna uimara tena kwenye ndoa.Yan ni ukweli...mwanamke akishakuwa na uhusiano zaidi ya mmoja...akija kuolewa Mume ataimba Haleluuyaaa...!!hyo ht kwa wanaume pia..!!ndo maana ndoa za siku hizi hazieleweki
Wengi wanaolewa kanyaga twende...!!na c kutoka moyoni
Sawa Mke Wangu umenena VyemaAmini usiamini,endapo watu wanaoanza mapenz wataoana Yan namaanisha mabikra ndoa yao huwa na furaha na Mara nyingi hudumu
Hii ni kutokana na ukweli kua kila mtu hajui mpenz mwingne yaan hafanyi comparison hivo kila mmoja anamwona mwenzie mtamu tu
Sasa jichanganye uoe janamke limechezea kila aina ya mtulinga,Lina jua kila style kila saiz,utaitwa kibamia frnd
Na we mdada uolewe na kashapitia wadada kibao wenye shundu za kueleweka ,mnato,seeme refu,
Hi ndoa haitadumu coz atakua anakulinganisha na wengine
Ushauri!: endapo utakutana mwenza ambae ni mgeni ktk mapenz fanya muoane
Dah! Hii nilijua ni kwangu tu kiongozi..Sijui kwanini,Mpenzi wangu wa kwanza kabisa, ameolewa lakini bado tunapendana sana, ijapokuwa kila mtu yupo na mahusiano mengine, lakini ile nguvu ya upendo wa awali ni kubwa sana yani hata tukikutana tunatamani kabisa kufanya kitu.