Wana jamvi..
Leo nimefikiria mengi nikaona niangalie na mawazo ya wana jamvi wengine ambaye ni ninyi..
Hivi katika safari ya ndoa, kuna swala la uchumba na mahari..
Je ni mahari huanza, alafu uchumba, kisha ndoa..
Au ni sherehe ya uchumba (Engagement), ndo huanza kisha mahari alafu ndio Ndoa..
Naombeni majibu yaliho sahihi yasiyo yakudhani, kubunia, n.k..
Akhsanteni