hebu fkr watu wot dunian wasngefunga ndoa na wangkuw na mawazo km ya kwako dunia ingekuwaje...sio kila kitu ambch hukpend ni kbaya
hahahaha mandela mim nilivyosikia ni kwamba wale makaburu walim-hasi huko gerezani kwaio sasa si tayari alikua na mapungufu...lazima ashindwe hapo..kwa kweli daaah mpo wengi kinoooma..aisee..ila still i pray and hope for the best me najua kuna kifaa nacho kinawaza hivyo hivyo tu(praying and hoping for the best) halafu naamini mtampata tu...unachosema wewe inafanana na hivi..mfano form 4 2012 wamefeli wengi sana je watu wataacha kusoma sababu hiyo?ahahhaha mi sijasema nakaa mwenyewe man..nakaa na ndugu zangu..infact..my house ni free for anyone to come and sleep over ahahah tuko wengi ile mbaya.sister. watoto wake..na wengine wa adoption..asubuhi tunaamka na kengele. afu umeniacha hoi hapo kwenye blue selection.....MANDELA ALIKAA JELA MIAKA 27 AKIVUMILIA MATESO NA KAZI NGUMU ALIPOTOKA JELA AKARUDI KWENYE NDOA YAKE BAADA YA MIEZI 6 AKANYOOSHA MIKONO..HEEEEEELP DIVORCE PLEASE :A S-confused1:ahahahhahaa😛ound:. Best Wishes man.
Hii ni kwa wasioelewa Ndoa.
View attachment 105916
na hii ndo sign yake ahahahha hicho ni ki ATM card anampa. Kama unabisha andika kwenye google "international symbol for marriage"
View attachment 105918
Kwa nini wanatufta waume au wake wa kizungu?