Ndoa si kitu cha mchezo mchezo

Mama watoto hiyo point no 4 kiboko

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo no. 9 huwezi tafuta at least kamfano kengine ambako kanamatch kidogo?! [emoji23]
 
Hiyo no. 9 huwezi tafuta at least kamfano kengine ambako kanamatch kidogo?! [emoji23]
Jamaa ni kitombi mtaa mzima aafu eti demu anategemea akiolewa yeye atamtuliza.
Au demu malaya kila mtu ofisini kapitia mzigo aafu unajikoki ukitegemea ataufyata mkia na kukutunzia wewe.

Historia ya mtu huwa haifutwi kirahisi ati.
 
Aisee, hatari kabisa.
Afadhari muunganiko wa BOGA na tikiti Maji...Sasa unakuta miunganiko mingine [emoji114][emoji114][emoji114], i.e Kiwanda cha kufua umeme vs Kiwanda cha tumbaku.
 
Mkuu hiyo namba 9 hapo kwa wavuta bangi umewakosea sana [emoji2][emoji2][emoji2]

Kuna mzee kwenye ndoa ana zaidi ya miaka 35 na ni mvuta bangi mzuri sana na sijawai kusikia akijwaruzana na mtoto au mke wake. Ni moja kati ya familia waadilifu sana mtaani.
 
shape muhimu Aisee!
Naanzaje kuoa kimbau mbau ata nikijlaza kwenye mapaja yake utafikiri nimelalia ubao [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…