Ndoa si kitu cha mchezo mchezo

Pole mwaya. Uzuri unaishaga
wewe huelewi kwa nini watu wanaoa, bila sababu hizo hapo juu hakuna atakae oa/kuolewa . ulichopaste hapo ni mtazamo wa mtu tu na wala sio utaratibu wa dunia. kuna namna tofauti tofauti za kuoelewa/kuoa wote hatuwezi tukawa na same root.
 
Lazima nikuoe wewe mzigua duh ninoma sana umewa tachi wengi at once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…