linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
"Hakuna ndoa isiyo na matatizo" sentensi hii ina maneno matano, lakini ukianza kuichambua unaweza kuandika kitabu cha kurasa zaidi ya buku. Ukitaka furaha yako ya maisha iishe, oa au olewa.
Duuu!!! Mbona hata kwenye urafiki/ uchumba napo yaweza kuwa shida? Mwisho utabaki mnunuzi wa changudoa daily.
Jaribu kuiangalia ndoa in a positive way...