Yaani hizi kesi za upande mmoja zina changamoto kujibu, yaaani kujenga nyumba kimyakimya ndo sababu ya kuachana na mkeo, ushajiuliza kitu gani kilimpelekea kujenga nyumba kimyakimya, hakuna signal mmbaya zozote aliziona kwako , si yapo jamani tunajifunza kila siku, natamani jua kama alikua na sababu ya msingi ama la