Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

QUOTE=The Finest;2460853]Nakuja leo wala usijali Klorokwin aliazima baiskeli yangu ndio yuko njiani anairudisha
Mbona mwaliko ulikuwa wangu huo aise[/QUOTE]
Mkuu kadi yako iko Mtwara subiri baada ya wiki mbili lol
 
Hahaha!!! Wewe ndio ulinitoroka banaa angalia nanii yako ya mwisho nilisemaje

Nazeeka ukiona hivo....aaaah!
Ngoja niangalie nipate ushuhuda basi...
Electonics zangu leo zina behave funny funny
 
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.

Jina lako linanikumbusha kawimbo fulani ka TANGA INTERNATIONAL kanakoimbwa:

Zubeda wa mamaae,
Mimi nakutafuta,
Zubeda u wapieee
Watu wanasema upo city eeee.


 
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.

Ndoa ni mkataba, muungaji wake nu Mungu
 
huo ndo ukweli hakuna mijadala ya ndoa ya kumtisha mtu,upeo mdogo unao wewe unaozeshwa na kutoa TAKRIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…