Ndoa ni ulimwengu mwingine

Atapoteza unaibu!kaiaibisha mamlaka ujue!labda mama amchukulie poa!
Wanasubiri apone! Malimbwata yalikutana la nyumba kubwa na ndogo.. La nyumba kubwa likapelekea moto nyumba ndogo.. La nyumba ndogo likazidiwa mambo yakawa mengi
 
Furaha, Upendo, Uvumilivu, Amani, Uaminifu, ... Sio vitu vinavyopatikana kirahisi. Ni zao (tunda) la Roho Mtakatifu.WAGALATIA 5:22-23. Roho wa Mungu anapoingia ndani ya mtu, yote haya huwa ni "given" .

Hivyo kama tunayataka hayo yote tuamue kwa dhati kumpa Yesu maisha yetu ili awe Bwana na Mwokozi wa maisha yetu na kisha tutaishi maisha ya furaha hapa duniani na tutakuwa na uhakika wa ule uzima ujao, ule UZIMA WA MILELE.

kwa hakika, YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
 
 
Maisha yanachangia kutuvuruga wanaume wewe upo bize kutafuta ugali mwenzio anakupoint kuwa huna care.Ukiacha kutafuta ugali na ukawa busy kuntake care njaa inawapiga mnaanza kufarakana tena.
 
Maisha yanachangia kutuvuruga wanaume wewe upo bize kutafuta ugali mwenzio anakupoint kuwa huna care.Ukiacha kutafuta ugali na ukawa busy kuntake care njaa inawapiga mnaanza kufarakana tena.
[emoji848][emoji848]
 
Ishi nao kwa akili tu, vile unawaza kumpa furaha yy anajiandaa kukupiga tukio[emoji848].

Kuna wkt wa furaha na wkt wa makwaruzano kwenye ndoa, so kila kimoja kikitokea jua ndio muda wake huo na iache nature iamue ukilazimisha inakula kwako.
 
Mbona umeandika as if wanaopata tabu ni wanawake tu...wanaume wao mambo ni safi????
 
Umekuwa TGNP na wakili wa feminists, women were not meant for permanent attachment hawana long-term commitment, na laana yao ya bustani ya Eden bado ipo, mwanamke haridhiki na hajui anachotaka hivyo ni mtu wa kutaka jipya, jingine, kufananisha, bila kujali kuwa yeye Hana huo uwezo wa kuwa nacho.
Wanawake ni mashetani hadi kiama na ni majambazi ya hisia za wanaume.
 
Wanawake siyo wasumbufu saaana kama wanaume ndani, Nguvu zenyewe za kubeep unatumia teena kulima mashamba mengine.
 
Sema Kuna watu ndoa zao zimetulia Sana ni Amani TU wanaishi with respect love , kindness n.k

Naamini kumpata the right one ndo Jambo la muhimu katika haya Maisha ya ndoa whatever what someone is

I remember mwaka 2005 nilikuwa darasa la pili Uganda nilirudi likizo nyumbani Bukoba . Na story kubwa ilikuwa ni kicheko kuwa Mama Mdogo wangu kaolewa kea mahari sh elfu Saba .... Na mme wake hana Kazi na Ana -Matatizo ya macho inshort Ilikuwa ni kejeli Sana .

Kwa huelewa wangu niliona Mama Mdogo wangu alikuwa mjinga Sana by that time , kumbe wajinga walikuwa wale waliomcheka.

Leo ni 2023 Mama Mdogo wangu ni moja ya watu waliofanikiwa kwa kila kitu mme wake wanaishi vizuri Sana so nadhani kuolewa Mtu aolewe na Mwanaume mwenye upendo mambo mengine nyumba na Pesa kila Mtu anaweza Kupata that way mme wa Mama Mdogo he had nothing lakini leo ana kila kitu


So Affection matter most Mwanaume akiwa na utulivu Hana usaliti nahisi ndoa inaweza kuwa strong Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…