Ndoa ni serikali ya kwanza Duniani

Ndoa ni serikali ya kwanza Duniani

M2WAWA2

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
3,284
Reaction score
5,625
Kutokana nawanawake wengi kutokuolewa, wengi wao sasa wamekuwa katika kambi ya wapingandoa, na wengi wao wamejizolea umaarufu kwa kufanya mashambulizi ya kutoshadhidi ya ndoa.

Kunasimulizi nyingi humu JF na kwingineko juu ya ndoa kama ni sehemu ya stress namajuto, na watu wengi wameaminishwa hivyo.

Ifahamike kwamba ndoa ni serikali yakwanza hapa duniani. Kila mtu mke na mtu mume wanapenda maisha ya ndoa.Hoja nasimulizi mbalimbali hazitaweza badili ukweli huu.

Ikumbukwe bila serikali hakunautawala,hakuna usalama,hakuna msingi wa maendeleo endelevu.

Ndio utakuwana cheo kazini kwako,magari ya kutembelea,nyumba ya kisasa kabisa, watoto wasiona baba,
pesa kama mchanga wa baharini, elimu kubwa kupita wote, uzuri wako usiona mfano tangu kuumbwa kwa dunia.

Ila bila maisha ya ndoa ni kazi bure,vyote havitakuwa na thamani kwako.

Ndoa itabakia kuwa ndoa bila kujali uwingi wama elfu ya sababu za kuipinga.

Wenu ‘mtu wawatu'
.
 
Sasa wanawake wako wengi,basi iwepo sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja kujenga serikali ya muungano imara.
 
Ningekua nimeolewa, muda huu ningekua najuta sana.... thanx God kwa kunionyesha njia nzuri....
 
Ndoa nini bana, wangapi hawana ndoa na wafurahia life tu kwa kwenda mbele? Usiwatishe watu. Ni uamuzi wa mtu binafsi kuolewa, kutokuolewa au kuvunja ndoa. Unatakiwa ufanye kile kinachokupa furaha. Nyie ndo mnasababisha watu wanajiingiza kwenye ndoa wakihofu jamii itawaelewa vibaya na mwisho wa siku wanaishia kwenye matatizo.
 
Kwanini uoe wakati unapata all needs bila hiyo ndoa?
 
Ndoa nini bana, wangapi hawana ndoa na wafurahia life tu kwa kwenda mbele? Usiwatishe watu. Ni uamuzi wa mtu binafsi kuolewa, kutokuolewa au kuvunja ndoa. Unatakiwa ufanye kile kinachokupa furaha. Nyie ndo mnasababisha watu wanajiingiza kwenye ndoa wakihofu jamii itawaelewa vibaya na mwisho wa siku wanaishia kwenye matatizo.

Kile kinacho kupa furaha ni nini?

Ndoa ni maamuzi ya mtu binafsi ila kuna kitu kina itwa INTIMACY. Intimacy haitawahi kuwa a voluntary action hata siku moja. We might get it in relationships ila in marriages we get it in the best way.
Tutadanganyana sana kwamba sito oa wala sinto olewa but at the end of the day we look for those opportunities but never find them.
Tusidanganyane maisha ya ndoa hayana furaha hata kama utamuoa the worst man or woman on earth there is always something tht will be good and best in him or her that you will not find it in someone else or you might find it but not the best way that person will always do it for you
 
sawia mkuu tuko pamoja
 
Sio kila waliopo kwenye ndoa wanafurahi, wengine wanajuta
so maisha bila ndoa pia yapo na inawezekan
 
Kujifariji wala sio dhambi,

Hahahaaaaa.... ndivyo mnavyodanganyana kuwa kila mwanamke ana dream ya kuwa under man?
Kwani kuna kitu gani hasa ndani ya ndoa ambacho wa nje ya ndoa hawapati?
Cc Asnam
 
Last edited by a moderator:
Kile kinacho kupa furaha ni nini?

Ndoa ni maamuzi ya mtu binafsi ila kuna kitu kina itwa INTIMACY. Intimacy haitawahi kuwa a voluntary action hata siku moja. We might get it in relationships ila in marriages we get it in the best way.
Tutadanganyana sana kwamba sito oa wala sinto olewa but at the end of the day we look for those opportunities but never find them.
Tusidanganyane maisha ya ndoa hayana furaha hata kama utamuoa the worst man or woman on earth there is always something tht will be good and best in him or her that you will not find it in someone else or you might find it but not the best way that person will always do it for you

asante
and i dont regret to be in marriage
and i do hope till death do us apart
 
Back
Top Bottom