fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
🤣🤣🤣Bado watu mnaoana tu? Hamchoki...!
Vile akina Juniors wa miaka ya 2000 wanakuzuum wakiombea upigwe na kitu kizito cha ndoa.Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu fungeni ndoa,alikeni ndugu tu,pikeni chai na maandazi mkaanze maisha.Mungu atakuleteeni baraka za ajabu.Kwa mnaokabiliwa na ugumu wa kuoa au kuolewa njoo inbox nitakusaidia,ni bure hakuna malipo.wiki hii yote ntakuwa tabora
Wanaoana kwani Me na Ke wametolewa barua za posa na mahari wote?Bado watu mnaoana tu? Hamchoki...!
Hoja yako ina mashiko, lakini kwa bahati mbaya sana kwamba siku hizi wanawake wengi zaidi wanapenda zaidi HARUSI, hawapendi Ndoa.Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu fungeni ndoa,alikeni ndugu tu,pikeni chai na maandazi mkaanze maisha.Mungu atakuleteeni baraka za ajabu.Kwa mnaokabiliwa na ugumu wa kuoa au kuolewa njoo inbox nitakusaidia,ni bure hakuna malipo.wiki hii yote ntakuwa tabora
aliolea nyege aujuz nilikua naongea na dogo mmoja alitoa mwaka juzi ananiambia katika utapeli alioingia kichwakichwa kuoa anajuta kinyama
Kataa ndoanikifikiria siku moja ntaolewa na mtu aje asaidiane na rafiki zake kuchafua nguo mimi nifue nachoka sana