Goku 255
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 473
- 906
Tusiingiliane kama umeona ndoa ina kufaa oa,na kama haikufai kaa pemben.Na usipooa mbelen usije ukalaumu mtu,ukizidiwa na kujinyea kwa nyumba.Hata mm sijaoa nani maamuz yangu kwa hiyo,nikiishi na madem usije ukaniuliza mbona huoi maana tutazinguana sisi team kataa ndoa hatutaki usumbufu,na sio kila kitu msingizie mungu,ndoa sio lazim ni maamuzi yako mtu. kibinafs