Ndoa ndoano

Ndoa ndoano

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
NDOA NDOANO! Mtu na Mkewe walikuwa wamelala, katikati ya usiku Mke akaweweseka "Wewe amka tena uondoke Mume wangu anakuja" Mara Mume ghafla akakurupuka akanyakua nguo zake na kurukia dirishani. Duh! Mara Akakumbuka aaah! Kumbe leo nimelala Nyumbani.
Je kati yao nani Msaliti wa mwenziwe ?
 
wote wasaliti.
 
mh! Huyu aliyerukia dirisha ndo noma, bora mwenzie alikuwa anaweweseka
 
Back
Top Bottom