Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Mar 23, 2012 #1 Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!"
Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!"
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Mar 23, 2012 #2 hahahahahahah, alikurupushwa nini kufunga ndoa?
anania Member Joined Jul 2, 2010 Posts 83 Reaction score 8 Mar 23, 2012 #4 Ralphryder said: Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!" Click to expand... nimeipenda sana mkuu
Ralphryder said: Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!" Click to expand... nimeipenda sana mkuu