ndoa ndoano hapa!

My dear measkron kwema ? Hivi na wewe huwa unakumbana na hizi dhoruba kwenye ndoa yako na watu8 ....
Kuna muda mawimbi yanakuwa makali mpaka nataka kugive up...lakini baadae naona huruma.....

Yaani usipime marejesho, unasema ni upepo tu utapita........, hali inazidi kuwa tete, unasema liwalo na liwe.....unakumbuka watoto unawahurumia na kusema nisiwe mbinafsi...inakuja dhoruba upepo mkali unamwambia mungu nishike mkono nisizame, mawimbi ni mengi niokoe....
 
Last edited by a moderator:

U're a very good wife! U deserve to be my wife's advisor! marejesho will count on U from today!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! Mama, mama, mamaaa mama huyo mamaaaa, mama huyo mamaaaa, mama huyo mamaaaaa! Ushauri kuntu huu marejesho ashindwe mwenyewe! Najivunia kuwa na mama kama wewe measkron na baba watu8.
 
Last edited by a moderator:

Hii kwa kweli inanipa moyo sana.... Tuendelee kupambana hivyo hivyo na ushindi utahamia kwetu....
 
Atiii? Na wewe unaomba lakini ili pepo la kuitikisa ndoa yako mwenyewe likutoke?

Wewe nimekwambia uache ubishi, kiburi na ujeuri! Kiburi chako cha kukataa kukaguliwa hakikusaidii chochote!
Copy: Asprin
 
Hehehehe! Mama, mama, mamaaa mama huyo mamaaaa, mama huyo mamaaaa, mama huyo mamaaaaa! Ushauri kuntu huu marejesho ashindwe mwenyewe! Najivunia kuwa na mama kama wewe measkron na baba watu8.

Na mie najivunia kuwa na watoto kama wewe sweetlady pamoja na wenzako na kuwa na mume mwema mwenye hofu ya mungu, mwenye kuijali familia yake watu8, he is daddy dearest Nobel husband's prize winner!
 
Last edited by a moderator:
Na mie najivunia kuwa na watoto kama wewe sweetlady pamoja na wenzako na kuwa na mume mwema mwenye hofu ya mungu, mwenye kuijali familia yake watu8, he is daddy dearest Nobel husband's prize winner!

Hakuna cha kututenganisha sweet love...Muke ya watu8
 
Last edited by a moderator:
Kwani chumba chako haujajiwekea ceiling board? Manake unasikia mayowe hadi kupatanishwa? Enhee, make up game ilikuwaje, ama ulilala?
wamegombana wenyewe muda huu eti wanasuluhishwa,najipa big ups coz ningetoka 9t sasa ingekuwa ful aibu kama aliyekuwa anapigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…