Not sure
Sio kweli,hakuna taasisi yenye raha kama ndoa,as long umemuoa/ olewa na chaguo.la moyo wako, acheni kupotosha,wengine tupo kwenye ndoa for years ila hatjawahi kujuta
Umejawa na sumu gani mkuu,mwagika hapa ili tuiponyeshe ndoa yakotusidanganyane ndoa ni ngum ndugu zangu,hv mim najiandaa talaka kwa jns nlivyojawa na sumu huenda ikawa hata page nne. Nitaoa mpaka nipate mwanamke mwenye hofu ya mungu,tena ntamfanyia study kama nataka kuandika thesis ya PhD.
tusidanganyane ndoa ni ngum ndugu zangu,hv mim najiandaa talaka kwa jns nlivyojawa na sumu huenda ikawa hata page nne. Nitaoa mpaka nipate mwanamke mwenye hofu ya mungu,tena ntamfanyia study kama nataka kuandika thesis ya PhD.