Ndoa na harusi!

hapo ndipo tatizo lilipo. kwa nini usigharamie harusi yako mwenyewe, michango ya nini tena?!! wewe andaa kwa kadri ya uwezo wako, hata 4M ni harusi kubwa tu watu watakunywa na kusaza.

kwa watu ambao hawana socialization nzur ktk jamii ndio nyie katka jamii lazima kushirikishana ktk mambo kama hayo hata misiba pia cjakataa unaweza usichangishe kwa kuwa unauwezo mkubwa kifedha lakin ni muhimu kuwahusisha ndugu jamaa marafiki majiran pia
 
Waweza changa na usichangiwe.... maana mtindo wa sasa ni chukua chako mapema kisha twende zetu.

Sio kweli labda uniambie unaishi angani pekeako. ktk jamii kuna jambo la ushirikishwaji sio ktk sherehe tu hata ktk misiba ukiwa unashiriki vizuri kwa wenzio hata kwako utapata ushirikiano mzuri kutoka ktk jamii inayokuzunguka.
 
Labda bana. Ila jamii zinabadilika kwa kasi sana. Leo sio kesho
 
Umeongea ukweli mtupu kaka, big up!! headache za harusi ni balaa tupu.
 
socialization kwenye michango ya harusi tu?...akija mtu ana shida hana pesa ya ada ya mwanaye mnaanza kumsema, harusi mnachanga faster, hiyo ndiyo socialization?!! Tatizo wala siyo uwezo mkuu, ni utashi tu, sina mazowea ya kuchangia harusi, kama unaona nina umuhimu wa kuhudhuria wewe nialike tu na zawadi ya maana nitakuletea! BTW enzi zetu zilishapita, sanasana sasa tunaangalia watoto tu, sitapenda mwanangu aanze kutembeza bakuli kwa ajili ya sherehe kwa kisingizio cha socialization, mimi kama mzazi, na yeye kama muowaji/muolewaji tuna jukumu la kubeba mzigo wote kwa kadri ya uwezo wetu, ndugu na majirani ni mashahidi tu.
 
Asaaaaanteeee mkuuu.... kutembeza bakuli ni jadi ya watu
 
Hizi ndoa za matarumbeta huwa naona kama kitanzi vile..

Manake hata tukizinguana itakuwa noma kupigana chini, watu watahoji kulikoni..
 
Hizi ndoa za matarumbeta huwa naona kama kitanzi vile..

Manake hata tukizinguana itakuwa noma kupigana chini, watu watahoji kulikoni..

Hahahahaaaa..... ila ndizo zinazopigiwa upatu daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…