Ndoa na furaha yake

kama nmekupata vyema unamaanisha mabadiliko ni ya pande zote mbili ...
 
Hili dude liko complex sana

Taabu inaanza pale unapooa mtu, kuja kushituka kumbe umeoa au kuolewa na familia zetu.

Mabadiliko haya yanahitaji akili zilizopevuka na uvumilivu.

Kupunguza matazamio na kuanza kuishi maisha halisi ni nguzo kuu ya ndoa.

Haya yote ili yaanze kufanya kazi maishani mwako huna budi kumtegemea Mungu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…