Ndoa na furaha yake

doleicute

Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
76
Reaction score
42
Habarini ya jumatano wana JF..........
kutoka kwa jamii tunazoishi nazo na zinazotuzunguka kwa ujumla...tunashuhudia mengi ktk masuala ya mahusiano (ndoa)....

tunashuhudia magomvi na vipigo vya mara kwa mara,,usaliti,, dharau na kuvunjika kwa ndoa......
kwa mazoea na shuhuda mbalimbali..busara, hekima na mengineyo..je? unafikiri nini huchangia haya yote ..je? nani anakuwa responsible na maharibufu ya ndoa....nani hafuati vyema majukumu yake au nani akifanya nini hili janga la nyumba kuharika litapata ahueni......

tubadilishane mawazo hapa wapendwa wangu......siku njema kwetu sote
 
Siyo ndoa peke yake, ila kwenye mahusiano yoyote... Nidhamu na kujishusha ni muhimu sana... Hii ni kwa wote mwanamke na mwanaume...

Ubabe, dharau, kejeli, umimi, majiambo, majivuno, udanganyifu, kujiona bora zaidi ya... Visiwe na nafasi...


Cc: mahondaw
 
Yah, kabisa mahusiano yanataka mfanano wa roho na nafsi ijapokuwa hamuwezi kuwa sawa kwasababu ya ubinadamu but upendo humaanisha kuchukuliana na kuyabeba madhaifu ya umpendae
 
Yah, kabisa mahusiano yanataka mfanano wa roho na nafsi ijapokuwa hamuwezi kuwa sawa kwasababu ya ubinadamu but upendo humaanisha kuchukuliana na kuyabeba madhaifu ya umpendae
Na hayo mambo yote yanatakiwa yafanyiwe kazi mwanzo kabisa wa mahusiano...

Tusiseme atabadilika au nitambadilisha ni uongo...

Cc: mahondaw
 
agreement huwa ni kwa shida na raha sasa wewe ulizoorodhesha ni shida which are part of agreement, tatizo nini?
 
agreement huwa ni kwa shida na raha sasa wewe ulizoorodhesha ni shida which are part of agreement, tatizo nini?
labda cjakuelewa kwa uzuri wa kutosha ...pls unaweza nielezesha kwa kiasi
 
ha

hakika ijapokuwa sisi ndio tunayakaribisha hayo mapepo kwa asilimia nyingi sana.......

Sure.
But some we invite,some we inherit and some are casted unto us via bad spells.
 
i
Sure.
But some we invite,some we inherit and some are casted unto us via bad spells.
in our Daily life we should learn how to depend on God`s hope and trusting him deeply...giving him priority in Everything we did or planning to do...Building ourselvels up with God`s fear, this will greatly help up to reject all invitations, inheritance and all that comes with evil spiritual
 
Mwanandoa ni mtu mwenye akili iliyokomaa, ukimuona mtu Ana zaidi ya miaka mitano anadunda ktk ndoa, fahamu huyo ni kichwa.
 
Mwanandoa ni mtu mwenye akili iliyokomaa, ukimuona mtu Ana zaidi ya miaka mitano anadunda ktk ndoa, fahamu huyo ni kichwa.
na kiapo wanachokula wanandoa halkinaga ukomo kikubwa ni uvumilivu na kuchukuliana misalaba
 

With this you will stand tall.
 
kwa kweli ndoa haikaririki usikariri ndoa kwamba mbona fulani anaishi vizuri tu na mke/mume wake why me? kwenye ndoa kuna kochokana, na kumuona mwenza wa kawaida. Kitu kikubwa ni uvumilivu tu.
 
kwa kweli ndoa haikaririki usikariri ndoa kwamba mbona fulani anaishi vizuri tu na mke/mume wake why me? kwenye ndoa kuna kochokana, na kumuona mwenza wa kawaida. Kitu kikubwa ni uvumilivu tu.
Hapa ndio nlipokuwa napataka kwann kuwe na kuchokana... Upendo hauchoki wala haushindwi.. Ukiona umemchoka mtu ujue hukumpenda ila kuna msukumo nyuma yako uliofanya umpende na sasa kukosekana kwa ule msukumo ndio huoni ule upendo uliojitengeneza mwanzon na hapo huleta maumivu na fedheha nyingi
 
Kujitambua ndii kitu cha kwanza mtu ajielewe kwamba ni mwanamke au mume wa mtu na ana majukumu ya kujenga kwake...akishajua hilo afahamu mama yake na baba na ndg hawana nafasi kwenye uhusiano /ndoa yake...jeuri na majibu ya kienyeji kwa kila upande yasiwepo hapo maisha yanakua sawa..ndoa na mahusiano mengi ni ya kuigiza na bado kuna wadada ambao kwa hakika wanaangalia kwao kama sehemu ya maisha wakati wameshaolewa na wamekua watu wazima...kila kitu wanareport kwao...hilo ni kosa kubwa na hapo wakishajenga chuki inakua ngumu kubadili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…