Ndoa mbaya chanzo cha umaskini hasa afrika

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,951
Reaction score
2,195
Ndoa ikiwa hasa haina uzuri inakuwa chanzo cha umaskini tena kwa Hatua kubwa kabisa na ndio maana uzunguni mwanamme hakubali kuoa hivihivi sababu anajua ndoa ni kitu kibaya cha kuharibu maisha kabisa
Rejea klipu inayotembea inayosema kuwa mwanamke hana muda wa kuomba ruhusa kwa mme wake
 
Ndoa ni utumwa,
Ndoa ni ujinga,
Kama wewe ni mjinga,
Ingia uone ndimba.

Ndoa Ina nyingi nginja,
Usipoangalia utakula ganja,
Ndoa siyo ujanja,
Jipapange usije danja.

© Sexless
 
Sasa utajiri bila familia pia haunogi.

Ndoa ni nzuri na pesa ni tamu.
Pambana upate pesa na upambane pia upate ndoa bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…