Ndoa maslahi part 2

Tafikiri babu kavaa diapers, lakini ndo kwanza kibinti hakijali
 
Hicho kibabu kinapiga mzigo/kucheba kweli?,au huyu babu anaibiwa mzigo anapewa mwingine?...
 
Huyu babu alilishwa pweza na supu yake ili japo aamshe popo lakini akaambulia tumbo baya mpaka kavishwa pampers/diapers
 
Huyo msichana ni mleaji wa huyo mzee, yupo kazini hapo.

Akijisaidia, kuoga yote ni jukumu la huyo msichana
 
Age is nothing but a number lkn kwa hapo asee hebu ngoja kwanza ntarudi asee.........loading.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…