Sio kweliSalaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi. Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na vikorombwezo vingi kati ya wapendanao lakini baadaya kuona karibia vyote hizikwa kwenye kaburi la ndoa.
Kama ulipata mke jeneza una haki ya kuiona ndoa ni kaburi....!!!
Salaam,

Kuku wako matani ya nini?
Kama ulipata mke jeneza una haki ya kuiona ndoa ni kaburi....!!!
Kama ulipata mke jeneza una haki ya kuiona ndoa ni kaburi....!!!
Teh mpe neno kijana hajui utamu wa ndoa....Hahahahahahaha