fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Soon Nakuja uniwowe tena na tena ! Usisahau kunionea huruma sasaπ
Sinaga huruma sweetheart...HahahaSoon Nakuja uniwowe tena na tena ! Usisahau kunionea huruma sasaπ
ingia sasa kwenye ndoaNdoa inahitaji Upendo.
Ndani ya huo upendo kuna hizo package zote.
NB: Sina ndoa.
Muda wangu wa kuingia ukifika nitaingia.ingia sasa kwenye ndoa
huruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisaHuruma hauwezi kujifunza ukubwani, kama huna hiyo tabia toka ndani mwako , ambayo pia huchagizwa na malezi , usitegemee uje ujifunze huruma kwenye ndoa.
sawa,ni vizuri sanaMuda wangu wa kuingia ukifika nitaingia.
Etiehuruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa
Sasa ulijuaje kuwa vyote hivyo vinahitajika mkuu[emoji23]Ndoa inahitaji Upendo.
Ndani ya huo upendo kuna hizo package zote.
NB: Sina ndoa.
Simple sana mapenzi ni upendo. Ili muunganishwe kindoa ni lazima kuwepo upendo.Sasa ulijuaje kuwa vyote hivyo vinahitajika mkuu[emoji23]
πππππππππNdoa ni ujambazi
I like that you know!Sinaga huruma sweetheart...Hahaha
βοΈHuruma hauwezi kujifunza ukubwani, kama huna hiyo tabia toka ndani mwako , ambayo pia huchagizwa na malezi , usitegemee uje ujifunze huruma kwenye ndoa.
Mifano ya huruma:Tupe mifano ya matumizi ya huruma kwenye ndoa