Ndoa inaelekea kunishinda

Jamaa bado mzembe sana....ana tu michepuko tutatu tu .... ulivyokuwa unapekua simu lengo lilikuw nini?si tayari ulichokuwa unakisaka umekipata?ni wakati wa kutulia sasa
 
TATIZO LENU NI MOJA , MNAAMINI UAMINIFU KATIKA POCHI ZA WATU. UKIMFUATILIA ZAIDI UNAWEZA KUKUTA KUNA BISHOO ANAKULA MKUNDU WA HUYO MUME WAKO!
 
Ukiwa unamchiti mkeo inatakiwa uwe na akili mingi sana kama jasusi la Kremlin......
huyo mumeo ni jamaa zembe sana taarifa zake zinavuja anakuumiza sana gademshit!
 
Hahaha kwahiyo umeolewa wewe danga kabisa ,,wanaume tunakazi kwelikweli
 
I pole mwambie mchungaji,tafuta Ni nini anakosa kwako
 
Umeolewa kabla ya kukua. Mabwana zako hawakukupiga matukio kukukomaza?
 
Kukaa au kuondoka ni uamuzi wako kutegemea na malezi yako, thamani yako na kipato chako lakini zaidi principle zako n kiwango chako cha maumivu.

Wakikwambia kaa.......utakaa nae ni wewe


Wakikwambia ondoka...... utakayeondoka ni wewe

Tathmini...fanya maamuzi


Ukija kwa sisi magume gume tunaozeeka na hawa vitunguu maji.......

Sera ya mafiga matatu ni muhimu......

Ukiwa mtaalam zaidi , wenye vipaji vyao mafiga 5

Kama mwoga mwoga mafiga 2.....utainjika vhungu hivyo hivyo upande upande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…