nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Mimi nakubali ingawa ningetegemea huo utafiti uende more deep kuelezea sababu...
Unajua wasela wengi wanakula junk foods an ku party kama wasanii
Unajua kwa nini wasanii wanakufa upesi (hiyo ni world wide)? Life style...kuponda maisha...kunywa kupita kiasi...nyama choma...kubadili wapenzi...kukosa wa kum confide ukiwa na tatizo etc, etc, etc