Ndoa huongeza muda wa kuishi

Ndoa huongeza muda wa kuishi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
[h=2][/h]

ndoa-kuishi-sana.jpg

Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa huchangia mabadiriko yake kifikira na hata kiuchumi hivyo kwa njia moja au nyingine ndio sababu ya wale walio kwenye ndoa kuishi kwa muda mrefu.
Wakati ndoa huchangia kuongea muda wa kuishi na faida nyingine nyingi kwenye afya ya binadamu, tafiti zinaonesha kuwa wale walio achika / tengana au wajane umri wao wa kuishi huwa mfupi kuliko wale wasioolewa /oa kabisa.DONDOO: Ndoa huongeza muda wa kuishi

Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress
 
Sidhani kama hii ina ukweli maana asilimia kubwa ya ndoa zina matatizo na zinaumwa
magonjwa haya ya ndoa hizo huwapa wahusika masongo wa mawazo na wala sio furaha
 
kwenye ishu hii mimi NADHANI zinazungumziwa 'NDOA ZENYE UDHATI WA MAPENZI YA KWELI' tena ambazo kila mhusika anakomaa kuhakikisha amani, upendo, furaha, uaminifu, kujaliana, nk..na sio zile 'NDOA NDOANA'...tujaribu kutofautisha my dear!!
Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress
 
MziziMkavu Ndoa huongeza muda wa kuishi

ndoa-kuishi-sana.jpg

Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa huchangia mabadiriko yake kifikira na hata kiuchumi hivyo kwa njia moja au nyingine ndio sababu ya wale walio kwenye ndoa kuishi kwa muda mrefu.
Wakati ndoa huchangia kuongea muda wa kuishi na faida nyingine nyingi kwenye afya ya binadamu, tafiti zinaonesha kuwa wale walio achika / tengana au wajane umri wao wa kuishi huwa mfupi kuliko wale wasioolewa /oa kabisa.DONDOO: Ndoa huongeza muda wa kuishi

SIYO KILA NDOA NI NDOA, KAMA ZILE ZA MIKEKA UNATARAJIA FARAJA HAPO?
 
Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress
Hapo ni TENDO LA NDOA na sio ndoa yenyewe, asilimia 80% ya ndoa zinafupisha maisha, waliomo kwenye ndoa karibu wote wanasumbuliwa na pressure na stress wengine wanapata mpaka kisukari.
 
siamini katika hili hata kidogo, bi mkubwa asingeamua kuondoka kwa mzee sidhani kama leo hii tungekuwa nae.
 
Si ndoa ambazo kila siku iendayo kwa Mungu ni majanga tu ndani ya ndoa...Mume akitokea mlango wa mbele mke anatokea mlango wa uani.

kwenye ishu hii mimi NADHANI zinazungumziwa 'NDOA ZENYE UDHATI WA MAPENZI YA KWELI' tena ambazo kila mhusika anakomaa kuhakikisha amani, upendo, furaha, uaminifu, kujaliana, nk..na sio zile 'NDOA NDOANA'...tujaribu kutofautisha my dear!!
 
umeona eeh! inahu sana hali ya ndoa husika...

Back
Top Bottom