iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Hiyo ndoa baada ya miaka miwili inahatihati ya kuwa migogoro isiyoisha kwasababu yawezekana mwanamke yuko desperate kuolewa tu ila elimu inamyata sana. Na hawa viumbe kama ujuavyo, wanasumbua sana wakishajua wako juu kwa kitu flani.
Mwambie ajipange na kuwa makini, akimpa kinafasi tu, mwanamke atakuwa baba halafu mwanaume atakuwa mama.
Natamani ifungwe hii ndoa Ili tushuhudie huyo mwanaume atakayekuwa mama atakavyobeba Tumbo na kuingia leba.
Wanaume wengi hawajiamini sijui kwa nini.
Hebu tambueni elimu ya mke,financial stability yake na chochote kingine alichokuzidi havishushi uanaume wako!!!
Natamani ifungwe hii ndoa Ili tushuhudie huyo mwanaume atakayekuwa mama atakavyobeba Tumbo na kuingia leba.
Wanaume wengi hawajiamini sijui kwa nini.
Hebu tambueni elimu ya mke,financial stability yake na chochote kingine alichokuzidi havishushi uanaume wako!!!
Uko sahihi mie ni ke.Madam Ennie (sorry kama si ke maana jf nayo ina yake kwenye hizi IDs) sentensi yako ya mwisho imekaa kinadharia zaidi. Imejikita zaidi kwenye vile mambo yalipaswa kuwa si vile mambo yalivyo.
kuna mtoto wa baba yangu mdogo anataka kuoa mwanamke aliye na elimu ya degree na yeye ni kidato cha NNE japo hela zipo hii ndoa itakalika kweli Mimi naona kama hawaendani hebu tusaidizane wewe umewahi kuona
Madam Ennie (sorry kama si
ke maana jf nayo ina yake kwenye hizi IDs) sentensi yako ya mwisho
imekaa kinadharia zaidi. Imejikita zaidi kwenye vile mambo yalipaswa
kuwa si vile mambo yalivyo.
Hakuna ndoa hapo tusidanganyane
Acha wivu,afadhali huyo ana hela na form four yake kuna jamaa yangu std 7 ana mke ana master na wako happy now ndoa yao ina ten years na watoto watatu,hiyo imagination yako au kawivu fulani kanakusumbua achana nayo ndoa ni taasisi ya kipekee duniani.
Kitu anachohitaji mwanaume ni kujiamini. Kuna wanaume wana digrii moja na wanawalipia wake zao kusoma phd. Na wanawapa support hata wakati wa kukusanya data.
Wewe haujiamini, nduguyo anajiamini. Stay on your lane!