kiukweli najiona mjinga mimi,ndo maana nimetafakari ili nitafute mwelekeo sahii, ili watoto wabatizwe niachane nae nirudi kanisani watoto wabatizwe wakue kikristo au tufunge ndoe watoto wabatizwe. au nikae nae hivihivi na ndugu zangu wasitutambue na watoto wasibatizwe.Hebu nipe tafsiri ya ndoa dada yangu maana kisheria nyie ni mume na mke siku nyingi sana...
Ila kama watafuta wa kumlaumu kwa haya yote basi jitupie lawama mwenyewe kwani ulikubali kuishi nae kiunyumba bila ndoa...labda utusaidie kutuambia makubaliano yenu ya mwanzoni yalikuwaje...
Tafakari...ujinga u kwako au kwake.
Nimeshawashirikisha rafiki yake yeye na mwingine rafiki yetu wote, hata wao mpaka leo wananambia wanaona utata wakiongea nae anacheka yanaisha.Pole sana Erika, Tatizo kama lako limekuwa ni sugu katika jamii ya sasa watu wengi wanaishi tu bila kushirikisha hata ndugu zao. Cha msingi mtafute ndugu yake/Rafiki au mtu mwenye ushawishi mkubwa kwake ili ajaribu kumshawishi. Ila nahisi kama hakuna ndoa hapo kama anaendelea kuwasiliana na X girl friend wako kwa ukaribu kiasi hicho.
DR. unafikaga mbaka huku??Karibu JF da Erika...pole sana, wasubiri tu wataalamu wa masula ya mahusiano wapo wengi hapa JF.
ULIDHARAU MWIBSA SASA MGUU UMEOTA TENDEHivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai hawezi kuacha kuwasiliana nae kwa sababu pia wanatoka kijiji kimoja na wanaundungu, kuhusu ndoa unapomkumbusha anakwambia hilo ndo jambo la maana kuongelewa lkn dakika moja amesahau mpaka utakapomkumbusha tena jibu ni lilelile.nipo jia panda maana hata ndugu zangu wanaogopa kunitembelea wakiamini hapa hamna ndoa. Wanangu hawajabatizwa nimeenda kanisani nikaambiwa hamna ndoa hakuna watoto kubatizwa. Nifanyeje maana nimembeleeleza nahisi kukata tamaana niondoke nikaanze maisha yangu na wanangu ili aendelee kutafakari anataka nini.
Ungekuwa ni wewe yamekukuta hayo halafu ukashauriwa hivyo ungejisikiaje. Toa ushauri unaokubalika Mkuu.Mnyime ''chakula cha usiku'', pengine atakuelewa, kama kila akitaka unampa kuna haji gani ya kutangaza kuoa., samaki ushamvua chambo cha nini sasa?
ULIDHARAU MWIBSA SASA MGUU UMEOTA TENDE
To me i think it may be late kwani mmezaa watoto waiwli, umelea tabia hiyo mbaya for 5 years and many more
Kama una uwezo jaribu kukaa kando, kama huna uwezo vumilia au jitutumue kujenga misingi mipya ya ndoa... but one thing you must do, akina mama wengi wakiolewa wanajilegeza.... anza kujipendezesha na kuwa modern, utaona anashituka
Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai hawezi kuacha kuwasiliana nae kwa sababu pia wanatoka kijiji kimoja na wanaundungu, kuhusu ndoa unapomkumbusha anakwambia hilo ndo jambo la maana kuongelewa lkn dakika moja amesahau mpaka utakapomkumbusha tena jibu ni lilelile.nipo jia panda maana hata ndugu zangu wanaogopa kunitembelea wakiamini hapa hamna ndoa. Wanangu hawajabatizwa nimeenda kanisani nikaambiwa hamna ndoa hakuna watoto kubatizwa. Nifanyeje maana nimembeleeleza nahisi kukata tamaana niondoke nikaanze maisha yangu na wanangu ili aendelee kutafakari anataka nini.