Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,232
- 3,334
Baada ya Dan Alves kuokota ndizi aliyotupiwa uwanjani na mbaguzi wa rangi na kuila, sasa naona watu wengi wamenunua ndizi na kula ili kumuunga mkono Dan Alves. Dan Alves alihamua kula ndizi hiyo ili mrusha ndizi afurahie kuwa sasa nyani kala ndizi.Wauzaji wa ndizi naona wameuza sana, na mimi naplan kununua ndizi ili nami niwe nyani wabaguzi wafurahie. Hongera sana kwa tendo la kijasiri Alves
Last edited by a moderator:
