swaki la jiti
Member
- Oct 6, 2017
- 97
- 60
Ndiyo haya ya sasa
Well saidWatanzania tumeaajiliwa unafiki na kuwa vigeugeu..
Tuombe Mwenyezi Mungu atupe uhai tuje tushuhudie awamu ijayo baada ya king Magu ... Najua mtakuja kumsafisha wenyewe ndani ya siku 20 tu na wapo mtakao penda agombee tena
Watanzania sasa hivi wanafki sana..Well said
Nyerere alii endeshaje hii nchi walahi, na yeye uta Mwita je?
tunataka FISIEM[emoji196] [emoji216] [emoji217] [emoji160] [emoji90] [emoji379] [emoji126] [emoji61] [emoji218] waondokeWatanzania sasa hivi wanafki sana..
Halafu mbaya zaidi hawajui wanachokitaka